SlideShare une entreprise Scribd logo
1  sur  2
Télécharger pour lire hors ligne
Mabadiliko
                                                              Upatikanaji wa Fedha za Mradi
 Kilimo cha Wakulima Wadogo
                                                              Mradi unafadhiliwa na kitengo cha maendeleo cha kimataifa    Tabianchi, Kilimo na
 Wadogo Kinachozingatia Usalama
 wa Tabianchi
                                                              cha nchi ya Uingereza (DfID) pamoja na wakala wa kimataifa
                                                              wa maendeleo ya watu wa Denmark (DANIDA) kupitia              kuondoa Umasikini
                                                              programu ya uwajibikaji Tanzania “AcT”.

 Kilimo cha wakulima wadogo wadogo kinacho
 zingatia usalama wa tabianchi kinahusisha njia               Mradi huu unatekelezwa na:
 mbalimbali za kilimo, njia ambazo huwawezesha
 wakulima wa jinsia zote wanaolima chini ya hekta
                                                                                        www.actionaid.org/tanzania
 mbili kuweza kukabiliana na changamoto za
                                                                                        admin.tanzania@actionaid.org
 upatikanaji wa chakula, maendeleo na kukabiliana
 na mabadiliko ya tabianchi.

 Jambo kubwa ni kuboresha rutuba kwenye udongo                                          MJUMITA (Mtandao wa Jamii
 na kuimarisha uhifadhi wa unyevunyevu kwenye                                           wa Usimamizi wa Misitu
 udongo. Pia kuwahimiza wakulima kutumia njia                                           Tanzania): www.mjumita.org
 nzuri za kilimo kama vile kupanda mbegu bora kwa                                       mjumitaorg@mjumita.org
 umbali unao kubalika, kupunguzia miche na kung’oa                                      Tanzania Forest Conservation
 magugu.                                                                                Group (Shirika la Kuhifadhi
                                                                                        Misitu ya Asili Tanzania):
                                                                                        www.tfcg.org tfcg@tfcg.org
Eneo la Mradi
Ramani ya vijiji sita vya maradi katika wilaya ya Kilosa na                             Tanzania Organic Agricultural
Chamwino.
                                                                                        Movement: www.kilimohai.
                                                                                        org toam@kilimohai.org

                                                                                        MVIWATA (Mtandao wa
                                                                                        Vikundi vya Wakulima
                                                                                        Tanzania): www.mviwata.org
                                                                                        mviwata@morogoro.net

                                                                               Kwa maelezo zaidi;
                                                                             Tembelea tovuti ya mradi:
                                                                             www.tfcg.org/ccap.html
                                                                                 Au wasiliana na:
                                                                           Mkurugenzi Mtendaji, TFCG                       Kuwaweka wakulima wadogo
                                                                           S.L.P. 23410, Dar es Salaam
                                                                             Simu:+255 22 2669007                           wadogo katikati ya sera na
                                                                                                                           utekelezaji wa sera yenyewe
Mabadiliko Tabianchi na Wakulima                        Tanzania ipo hatarini kushindwa kupambana na             Shughuli za Mradi
Wadogo Tanzania.                                        mabadiliko tabianchi hasa katika sekta ya kilimo.
                                                                                                                 Ili kufikia lengo la mradi, shughuli zifuatazo
Wakulima wadogo wadogo wanatakiwa kupewa                Mabadiliko tabianchi kwa sasa kama vile ukame            zitatekelezwa:-
kipaumbele katika sera na katika utekelezaji wa sera    na mafuriko, tayari yamesababisha gharama
za Tanzania ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya                                                              ✓	 ujenga uwezo wa wanachama na watumishi
                                                                                                                   K
                                                        kubwa za kiuchumi Tanzania. Kwa mwaka matukio
tabianchi.                                                                                                         wa mitandao ya kitaifa ya vikundi vya wakulima
                                                        hayo hugharimu zaidi ya asilimia moja ya pato la
                                                                                                                   wadogo wadogo Tanzania (MVIWATA) na
Kilimo ni njia kuu ya Tanzania kukabiliana na           taifa na yamekua yakitokea mara kwa mara, hivyo
mabadiliko ya tabianchi na kupunguza uzalishaji wa                                                                 mtandao wa jamii wa usimamizi misitu Tanzania
                                                        hupunguza malengo marefu ya ukuaji wa chumi na
hewa ukaa.                                                                                                         (MJUMITA) kushirikiana kikamilifu kuhimiza kilimo
                                                        kuadhiri maisha ya mamilion ya watu (Uchumi wa
                                                                                                                   cha wakulima wadogo wadogo kinachozingatia
Wakulima     wadogo       wadogo       wataathirika/    Mabadiliko Tabianchi , DfID 2011).
                                                                                                                   usalama wa tabianchi.
wanaadhirika zaidi na adhari za mabadiliko tabianchi.
                                                        Mradi                                                    ✓	afiti za njia bora juu ya kilimo cha wakulima
                                                                                                                   T
Mabadiliko ya matumizi ya ardhi, hasa ufyekaji
wa misitu utokanao na kilimo cha kuhamahama,            Maelezo ya jumla ya Mradi                                  wadogo wadogo kinachozingatia usalama wa
ni chanzo kikubwa cha uzalishaji wa hewa ukaa           Mradi huu ni wa ubia kati ya mashirika matano yasio        tabianchi Tanzania.
Tanzania.
                                                        ya kiserikali.Unahusisha uraghibishi katika ngazi          Kujengea uwezo wakulima katika vijiji sita
                                                                                                                 ✓	
Sera na kanuni za uwekezaji na kilimo vinatoa           ya taifa na maonyesho ya njia mbalimbali za kilimo         kutekeleza na kuonyesha kwa vitendo kilimo
kipaumbele kwa kilimo kikubwa cha kutumia               hifadhi ndani ya vijiji vitatu vilivyo ukanda wa ukame
mashine zenye kutumia nishati ya mafuta na chenye                                                                  kinacho zingatia usalama wa tabianchi.
                                                        katika wilaya ya Chamwino na vijiji vitatu vilivyopo
lengo la kuongeza uzalishaji na kukuza masoko ya                                                                 ✓	utumia vyombo vya habari na kushirikiana na
                                                                                                                   k
                                                        maeneo ya milimani katika wilaya ya Kilosa. Mradi
mazao. Wakati njia hii inaweza kuongeza uzalishaji
                                                        umeanza Octoba 2012 na utakwisha Disemba 2014.             viongozi wa kuchaguliwa kuweza kuhamasisha
kwa kipindi kifupi, pia inaongeza uwezekano wa
wakulima wadogo kuwa masikini na kuathiriwa zaidi                                                                  uundwaji na utekelezaji wa sera zinazosaidia
                                                        Lengo la Mradi
na mabadiliko tabianchi yanayotokana na ongezeko                                                                   kilimo kinachozingatia usalama wa tabianchi.
                                                        Lengo la mradi ni kupunguza umasikini miongoni
la hewa ukaa itokanayo na matumizi tegemezi ya          mwa wakulima wadogo Tanzania na kuwajengea
nishati ya mafuta, sambamba na kuongezeka kwa           uwezo wa kukabiliana na mabadiliko tabianchi ikiwa
uharibifu wa misitu kwenye maeneo ya wakulima
                                                        ni pamoja na kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa
wadogo waliohamishwa kupisha wakulima wakubwa
na kwenye ufunguzi wa mashamba mapya.                   kwa kuboresha njia za kilimo.

Contenu connexe

Plus de Climate Change Agriculture and Poverty Alleviation in Tanzania

Plus de Climate Change Agriculture and Poverty Alleviation in Tanzania (13)

Research report on economic returns for investing in smallholder farmers (2)
Research report on economic  returns for investing in smallholder farmers (2)Research report on economic  returns for investing in smallholder farmers (2)
Research report on economic returns for investing in smallholder farmers (2)
 
Final report radio program-ccap- steper consulting co. ltd
Final report radio program-ccap- steper consulting co. ltdFinal report radio program-ccap- steper consulting co. ltd
Final report radio program-ccap- steper consulting co. ltd
 
To r for analyzing risks and opportunities of farm inputs
To r for analyzing risks and opportunities of farm inputsTo r for analyzing risks and opportunities of farm inputs
To r for analyzing risks and opportunities of farm inputs
 
District budget analysis study report final
District budget analysis study report finalDistrict budget analysis study report final
District budget analysis study report final
 
Tor for assessing impact of radio programmes
Tor for assessing impact of radio programmesTor for assessing impact of radio programmes
Tor for assessing impact of radio programmes
 
Final report dadp study mjumita consultancy- stephen nyagonde 2013
Final report dadp study  mjumita consultancy- stephen nyagonde 2013Final report dadp study  mjumita consultancy- stephen nyagonde 2013
Final report dadp study mjumita consultancy- stephen nyagonde 2013
 
Policy Analysis in relation to climate change adaptation, mitigation, agricul...
Policy Analysis in relation to climate change adaptation, mitigation, agricul...Policy Analysis in relation to climate change adaptation, mitigation, agricul...
Policy Analysis in relation to climate change adaptation, mitigation, agricul...
 
Kilimo RAfiki na Mazingira
Kilimo RAfiki na MazingiraKilimo RAfiki na Mazingira
Kilimo RAfiki na Mazingira
 
CSA SOURCEBOOK - FAO
CSA SOURCEBOOK - FAOCSA SOURCEBOOK - FAO
CSA SOURCEBOOK - FAO
 
Demand and Supply Challenges in Sub-Saharan Africa
Demand and Supply Challenges in Sub-Saharan AfricaDemand and Supply Challenges in Sub-Saharan Africa
Demand and Supply Challenges in Sub-Saharan Africa
 
ToR for policy review for CCAP
ToR for policy review for CCAPToR for policy review for CCAP
ToR for policy review for CCAP
 
ToR for DADP recommendations
ToR for DADP recommendationsToR for DADP recommendations
ToR for DADP recommendations
 
Manual for climate smart agricultural training
Manual for climate smart agricultural trainingManual for climate smart agricultural training
Manual for climate smart agricultural training
 

CCAP in Tanzania

  • 1. Mabadiliko Upatikanaji wa Fedha za Mradi Kilimo cha Wakulima Wadogo Mradi unafadhiliwa na kitengo cha maendeleo cha kimataifa Tabianchi, Kilimo na Wadogo Kinachozingatia Usalama wa Tabianchi cha nchi ya Uingereza (DfID) pamoja na wakala wa kimataifa wa maendeleo ya watu wa Denmark (DANIDA) kupitia kuondoa Umasikini programu ya uwajibikaji Tanzania “AcT”. Kilimo cha wakulima wadogo wadogo kinacho zingatia usalama wa tabianchi kinahusisha njia Mradi huu unatekelezwa na: mbalimbali za kilimo, njia ambazo huwawezesha wakulima wa jinsia zote wanaolima chini ya hekta www.actionaid.org/tanzania mbili kuweza kukabiliana na changamoto za admin.tanzania@actionaid.org upatikanaji wa chakula, maendeleo na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Jambo kubwa ni kuboresha rutuba kwenye udongo MJUMITA (Mtandao wa Jamii na kuimarisha uhifadhi wa unyevunyevu kwenye wa Usimamizi wa Misitu udongo. Pia kuwahimiza wakulima kutumia njia Tanzania): www.mjumita.org nzuri za kilimo kama vile kupanda mbegu bora kwa mjumitaorg@mjumita.org umbali unao kubalika, kupunguzia miche na kung’oa Tanzania Forest Conservation magugu. Group (Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania): www.tfcg.org tfcg@tfcg.org Eneo la Mradi Ramani ya vijiji sita vya maradi katika wilaya ya Kilosa na Tanzania Organic Agricultural Chamwino. Movement: www.kilimohai. org toam@kilimohai.org MVIWATA (Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania): www.mviwata.org mviwata@morogoro.net Kwa maelezo zaidi; Tembelea tovuti ya mradi: www.tfcg.org/ccap.html Au wasiliana na: Mkurugenzi Mtendaji, TFCG Kuwaweka wakulima wadogo S.L.P. 23410, Dar es Salaam Simu:+255 22 2669007 wadogo katikati ya sera na utekelezaji wa sera yenyewe
  • 2. Mabadiliko Tabianchi na Wakulima Tanzania ipo hatarini kushindwa kupambana na Shughuli za Mradi Wadogo Tanzania. mabadiliko tabianchi hasa katika sekta ya kilimo. Ili kufikia lengo la mradi, shughuli zifuatazo Wakulima wadogo wadogo wanatakiwa kupewa Mabadiliko tabianchi kwa sasa kama vile ukame zitatekelezwa:- kipaumbele katika sera na katika utekelezaji wa sera na mafuriko, tayari yamesababisha gharama za Tanzania ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya ✓ ujenga uwezo wa wanachama na watumishi K kubwa za kiuchumi Tanzania. Kwa mwaka matukio tabianchi. wa mitandao ya kitaifa ya vikundi vya wakulima hayo hugharimu zaidi ya asilimia moja ya pato la wadogo wadogo Tanzania (MVIWATA) na Kilimo ni njia kuu ya Tanzania kukabiliana na taifa na yamekua yakitokea mara kwa mara, hivyo mabadiliko ya tabianchi na kupunguza uzalishaji wa mtandao wa jamii wa usimamizi misitu Tanzania hupunguza malengo marefu ya ukuaji wa chumi na hewa ukaa. (MJUMITA) kushirikiana kikamilifu kuhimiza kilimo kuadhiri maisha ya mamilion ya watu (Uchumi wa cha wakulima wadogo wadogo kinachozingatia Wakulima wadogo wadogo wataathirika/ Mabadiliko Tabianchi , DfID 2011). usalama wa tabianchi. wanaadhirika zaidi na adhari za mabadiliko tabianchi. Mradi ✓ afiti za njia bora juu ya kilimo cha wakulima T Mabadiliko ya matumizi ya ardhi, hasa ufyekaji wa misitu utokanao na kilimo cha kuhamahama, Maelezo ya jumla ya Mradi wadogo wadogo kinachozingatia usalama wa ni chanzo kikubwa cha uzalishaji wa hewa ukaa Mradi huu ni wa ubia kati ya mashirika matano yasio tabianchi Tanzania. Tanzania. ya kiserikali.Unahusisha uraghibishi katika ngazi Kujengea uwezo wakulima katika vijiji sita ✓ Sera na kanuni za uwekezaji na kilimo vinatoa ya taifa na maonyesho ya njia mbalimbali za kilimo kutekeleza na kuonyesha kwa vitendo kilimo kipaumbele kwa kilimo kikubwa cha kutumia hifadhi ndani ya vijiji vitatu vilivyo ukanda wa ukame mashine zenye kutumia nishati ya mafuta na chenye kinacho zingatia usalama wa tabianchi. katika wilaya ya Chamwino na vijiji vitatu vilivyopo lengo la kuongeza uzalishaji na kukuza masoko ya ✓ utumia vyombo vya habari na kushirikiana na k maeneo ya milimani katika wilaya ya Kilosa. Mradi mazao. Wakati njia hii inaweza kuongeza uzalishaji umeanza Octoba 2012 na utakwisha Disemba 2014. viongozi wa kuchaguliwa kuweza kuhamasisha kwa kipindi kifupi, pia inaongeza uwezekano wa wakulima wadogo kuwa masikini na kuathiriwa zaidi uundwaji na utekelezaji wa sera zinazosaidia Lengo la Mradi na mabadiliko tabianchi yanayotokana na ongezeko kilimo kinachozingatia usalama wa tabianchi. Lengo la mradi ni kupunguza umasikini miongoni la hewa ukaa itokanayo na matumizi tegemezi ya mwa wakulima wadogo Tanzania na kuwajengea nishati ya mafuta, sambamba na kuongezeka kwa uwezo wa kukabiliana na mabadiliko tabianchi ikiwa uharibifu wa misitu kwenye maeneo ya wakulima ni pamoja na kupunguza uzalishaji wa hewa ukaa wadogo waliohamishwa kupisha wakulima wakubwa na kwenye ufunguzi wa mashamba mapya. kwa kuboresha njia za kilimo.