Ce diaporama a bien été signalé.
Nous utilisons votre profil LinkedIn et vos données d’activité pour vous proposer des publicités personnalisées et pertinentes. Vous pouvez changer vos préférences de publicités à tout moment.

CANCER CAUSING FOODS in swahili

482 vues

Publié le

beaware cancer kills

Publié dans : Formation
 • Soyez le premier à commenter

CANCER CAUSING FOODS in swahili

 1. 1. JE WAJUA VYAKULA UNAVYOTUMIA KILA SIKU SI SALAMA?? By Cavy Kaaya BPharm
 2. 2. • Popcorn za microwave zinaweza kusababisha kansa. Kivipi??? Kemikali kama perfluoroalkyls , asidi perfluorooctanoic ( PFOA ) na perfluorooctane sulfonate ( PFOS ) ambayo hutumiwa kwa line mifuko popcorn kuzuia grisi inayoloanisha na kuharibu popcorn zinapopata joto , kemikali hizi huyeyuka katika popcorn unazokula. Zinajulikana kama “visababishi vya kansa” na shirika la Environmental Protecting Agencies (EPA) ambayo kusababisha jeshi la jinamizi afya. Wao kuharibu mfumo wako endokrini, husababisha masuala tezi , kansa ya kibofu cha mkojo na mengi zaidi MICROWAVE POPCORN
 3. 3. • Acrylamide, ni kemikali inayoweza kusbabisha kansa na ni sumu inayoweza kuathiri mfumo wa ubongo, inatengenezwa pale vyakula vya kabohydreti vinapopikwa katika joto kubwa aidha kwa kukaanga kuchoma au toast... Kibaya Zaidi ni chipsi ambazo zinaandaliwa katika nyuzijoto juu ya 212°F (100°C) hivyo kwa vyovyote inakuwa na kemikali ya acrylamide. Kikawaida kemikali inatengenezwa wakati chipsi zinapopikwa kwa joto kubwa na rangi kubadilika na kuwa rangi ya brown au manjano iliyokolea. Chips AND FRIED CRIPS
 4. 4. • Matumizi ya nyama nyekundu kwa muda mrefu imekuwa wanaohusishwa na maendeleo ya aina fulani ya kansa. Sasa wanasayansi wanaamini wameweza kupata kisababishi cha kansa kwa nyama nyekundu. • Utafiti mpya unaripoti kwamba chembe za sukari hupatikana katika mwili wa nyama , kondoo na nguruwe inaweza kusababisha mwitikio wa kinga kwa binadamu vinavyosababisha uvimbe , ambayo hatimaye huchangia ukuaji mbaya wa seli unaopelekea kansa. Matumizi ya sukari hii kwa muda mrefu huongeza nafasi ya kupata kansa mara 5 RED MEAT
 5. 5. Kitendo cha kuandaa unga kwa kukoboa na kusaga mda mrefu huondoa vunururisho muhimu vya mwili na kuchanganyika na gesi hatari ya chlorine; shirika la EPA limethibitisha gesi hii ni hatari na inaweza kuua.inabandisha kiasi cha sukari mwilini hivyo si nzuri. Hainenepeshi tu lakini inachamgia kutokea kwa kansa mwilin HIGHLY PROCESSED WHEAT FLOUR
 6. 6. • Matumizi ya sukari za kutengeneza pamoja na pipi husidia kukua kwa kansa iliyoanza tayari. Syrup ya fructose corn husaidia celli kuzaliana maradufu kwasababu hutumiwa kwa ukuaji wa celli hizi. Kwahyo matumizi yake yahitaji umakini; sorry say no to sweets SWEET CANDY REFINED SUGARS AND SODA POP
 7. 7. • Kama umeacha matumizi ya sukari kama mgonjwa wa kisukari bila shaka utakua unatumia sweeteners ambazo ni za kutengenezwa. Watu wengi wamekua wakiona uzito kuongezeka . Utafiti Zaidi umeonyesha aspartame ambayo ni content ya sweetener ikivunjwa huwa sumu DKP ambayo hupelekea kansa ya ubongo .. ARTIFICIAL SWEETENER
 8. 8. • mbogamboga au matunda yanayoandaliwa shambani kwa kuwekewa kemikali huwa na madhara makubwa kwa sababu kemikali hizo hukua toka shambani na kukua na mmea. Utafiti unaonyesha asilimia 60 ya wananchi wa dar wapo kwenye hatari ya kupata kansa kutokana na mboga wanazotumia.. Ati mchicha unakua ndani ya wiki mbili jani kubwa kama la mhogo how comes…?? Tuna mengi ya kujiuliza GENETIC MODIFIED FOODS
 9. 9. • Wengi wanafurahia kunywa pombe kama kiburudisho ila sio njema kama inavyowaziwa. • Kwa wanawake ambao wameacha kupata hedhi (postmenopause) pombe imeonekana kuchangia 30% ya kansa ya matiti. Pombe ni ya pili kwa kusababisha kansa baada ya sigara inapelekea kansa ya utumbo, ini, na matiti ALCOHOL
 10. 10. • Haya ni mafuta. Yaliyotolewa nkwenye mboga na kuandaliwa kwa kungarishwa na kuongezewa baahdi ya vitu,. Sio mazuri kwa afya.. Pia matumizi makubwa ya omega 6 pia si mazuri HYDROGENATED OIL
 11. 11. • Hizi ni nyanya zinazopatikana kwenye makopo. Zinawekwa na kemikali iitwayo bisphenol_A or BPA. Utafiti miaka 2 iliyopita waonyesha jinsi ilivyofanya kazi kwenye ubongo wa panya. Na pale panapokua na kiasi kikubwa cha acidity kinasababisha nyanya inachanganyika na hii chemikali na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji CANNED TOMATOES
 12. 12. • Section will continue…. ONLY TIME TELLS………SAVE THE WORLD
 13. 13. ……THERE ARE LOT OF HIDDEN KNOWLEDGES TO KNOW……

×