Ce diaporama a bien été signalé.
Nous utilisons votre profil LinkedIn et vos données d’activité pour vous proposer des publicités personnalisées et pertinentes. Vous pouvez changer vos préférences de publicités à tout moment.
Maana ya utafiti.Umuhimu wa kufanya utafiti wa kielimu.Hatua za kufanya utafiti wa kielimu.Mpangilio au uandishi wa ri...
Utafiti ni uchunguzi unaotumia mbinu za kisayansi katika kutafuta taarifa juu ya        jambo fulani.
λ Kuna aina kuu mbili za utafiti.2.Utafiti wa msingi3.Utafiti wa matumizi
 Hutumika zaidi na wanasayansi. Lengo kuu ni kukuza nadharia, misingi na kanuni mbalimbali. Hauzingatii sana kutumia m...
 Unakazia matumizi ya matokeo ya utafiti huo katika kutatua matatizo na kufanya shughuri fulani iwe bora zaidi. Lengo ...
 Ni utafiti wa aina yoyote unaohusiana na mambo ya kielimu. Unahusiana na afanikio katika kujifunza, mipango ya elimu,...
 Kwa ajili ya kuanzisha nadharia muhimu za kielimu. Kuwezesha marekebisho katika program na maeneo mbalimbali ya kielim...
 Kusaidia katika kuleta uboreshaji katika mitaala iliyopo, vitabu, mbinu za ufundishaji na tathmini.
1. Kutaja Suala la utafiti2. Kuelezea Madhumuni ya Utafiti3. Kuandika Pitio la maandiko4. Kueleza Njia na Miundo ya Utafit...
λ Hiki ni kiini cha Utafitiλ Lengo la Utafiti na Muundo wake hutegemea sana SUALA LA UTAFITI
 Maendeleo mabaya ya wanafunzi Wanafunzi katika shule yenye majengo duni wana alama na mafanikio ya chini kuliko wale ...
 Liko wazi Lina mchango katika masuala yaliyotangulia Linaweza kufanyika katika mazingira halisi Lina jambo jipya Lin...
 Soma ripoti mbalimbali zinazohusu suala unalofanyia Utafiti Madhumuni Kugundua tafiti zilizokwishafanyika kuhusiana n...
 Kutambua makosa na matatizo yaliyotokea ila yaweze kuepukwa.
 Maktaba ni sehemu muhimu unapoweza kupitia maandiko mengi. Jambo muhimu kuhakikisha unafuata taratibu za mapitio ikiw...
 Njia za Utifiti wa Kielimu;SaveyiKisa mafunzoJaribio
THE END
Prochain SlideShare
Chargement dans…5
×

UTAFITI WA KIELIMU

103 254 vues

Publié le

Labda tutafika kukimbizana na ukosefu wa vyanzo vya maarifa ngazi ya Ualimu Cheti TZ

Publié dans : Formation
 • Identifiez-vous pour voir les commentaires

UTAFITI WA KIELIMU

 1. 1. Maana ya utafiti.Umuhimu wa kufanya utafiti wa kielimu.Hatua za kufanya utafiti wa kielimu.Mpangilio au uandishi wa ripoti ya utafitimdogo wa kielimu.Kutumia matokeo ya utafiti.
 2. 2. Utafiti ni uchunguzi unaotumia mbinu za kisayansi katika kutafuta taarifa juu ya jambo fulani.
 3. 3. λ Kuna aina kuu mbili za utafiti.2.Utafiti wa msingi3.Utafiti wa matumizi
 4. 4.  Hutumika zaidi na wanasayansi. Lengo kuu ni kukuza nadharia, misingi na kanuni mbalimbali. Hauzingatii sana kutumia matokeo katika kutatua matatizo.
 5. 5.  Unakazia matumizi ya matokeo ya utafiti huo katika kutatua matatizo na kufanya shughuri fulani iwe bora zaidi. Lengo ni kufanya utendaji uwe bora zaidi.
 6. 6.  Ni utafiti wa aina yoyote unaohusiana na mambo ya kielimu. Unahusiana na afanikio katika kujifunza, mipango ya elimu, mitaala na uwezo wa walimu kufundisha.
 7. 7.  Kwa ajili ya kuanzisha nadharia muhimu za kielimu. Kuwezesha marekebisho katika program na maeneo mbalimbali ya kielimu. Ni chombo muhimu katika kutafuta majibu katika mipango mbalimbali ya kielimu. kuna haja ya utafiti wa kielimu kutokana na mabadiliko katika dhana na mfumo wa miundo katika uwanja wa elimu.
 8. 8.  Kusaidia katika kuleta uboreshaji katika mitaala iliyopo, vitabu, mbinu za ufundishaji na tathmini.
 9. 9. 1. Kutaja Suala la utafiti2. Kuelezea Madhumuni ya Utafiti3. Kuandika Pitio la maandiko4. Kueleza Njia na Miundo ya Utafiti5. Katayarisha, kujaribisha na kurekebisha Zana za Utafiti6. Kukusanya,kuchambua na kutafsiri data
 10. 10. λ Hiki ni kiini cha Utafitiλ Lengo la Utafiti na Muundo wake hutegemea sana SUALA LA UTAFITI
 11. 11.  Maendeleo mabaya ya wanafunzi Wanafunzi katika shule yenye majengo duni wana alama na mafanikio ya chini kuliko wale wa majengo bora. wanafunzi katika madarasa bora na vifaa vya kutosha huwa na alama na mafanikio bora kuliko wale wa madarasa duni na yasiyo na vifaa vya kutosha
 12. 12.  Liko wazi Lina mchango katika masuala yaliyotangulia Linaweza kufanyika katika mazingira halisi Lina jambo jipya Lina mwelekeo
 13. 13.  Soma ripoti mbalimbali zinazohusu suala unalofanyia Utafiti Madhumuni Kugundua tafiti zilizokwishafanyika kuhusiana na suala Kutambua tafiti zilishughulikia kusudi na maswali gana ya Utafiti Kuafahamu njia na zana zilizotumika,namna zilivyotumika,jinsi ukokotoaji na uwasilishaji wa data
 14. 14.  Kutambua makosa na matatizo yaliyotokea ila yaweze kuepukwa.
 15. 15.  Maktaba ni sehemu muhimu unapoweza kupitia maandiko mengi. Jambo muhimu kuhakikisha unafuata taratibu za mapitio ikiwemo ufupisho wenye mambo makuu, fuata taratibu za uandishi wa nukuu kama utahitaji kufanya.
 16. 16.  Njia za Utifiti wa Kielimu;SaveyiKisa mafunzoJaribio
 17. 17. THE END

×