Good Stuff Happens in 1:1 Meetings: Why you need them and how to do them well
Kipeperushi2
1. LEGHET CLEANING SERVICES
AINA YA USAFI TUNAOFANYA NDANI NA NJE YA NYUMBA
Tumejiandaa kutoa uduma ya uhakika na ya ubora wa hali ya juu ndani na nje ya nyumba yako. Aina ya
usafitunaofanya ni:
SEBULENI
Kudeki tiles,kufuta vumbi,tv,radio,
meza,viti,,Kochi,sehemu za kupitisha
umeme, kupanga vitu vizuri kwa
muonekano mzuri
Kufuta fremu za picha na mapambo
yote, taa, kuondoa buibui
Kufuta na kungaalisha viti, meza,
kabati,kusafisha kapeti kwa machine
Kusafisha madirisha
VYUMBANI
Kufuta vumbi, buibui, kudeki vizuri kwa kutumia sabuni ya kuua
wadudu,kufuta madirisha na milango, kusafisha dressing table na
kupanga vitu vizuri, kufuta droo zote, kabati,feni, radio
Kufuta vumbi kitanda na kutandika , kusafisha kapeti, na vitu vyote
vilivyomo chumbani,
Kufanya shughuli za usafi ndani ya chumba kulingana na matakwa ya
mteja
JIKONI
Kusafisha sehemu zote za jiko, meza,
viti,kudeki kwa kina, kufuta vumbi
vyombo, kusafisha kuta endapo
zitakuwa chafu,
Kusafisha shelufu za kutunzia
vyombo, kufuta vizuri,maeneo yote
ya jikoni
Kutupa uchafu, kupulizia dawa,
Kuondoa buibui,kuhakikisha sehemu
za kuoshea vyombo ni safi
Kusugua maeneo yenye uchafu sugu
KAZI ZINGINE
Kufua nguo za rika lote
Kunyoosha nguo,, za aina zote, za kiume na kike, mashuka na
zinginezo
Tunasafisha makochi vizuri yawe ya ngozi au kitambaa
Tunasafisha vizuri vifaa vyenye kutu,mfano, viti vya chuma, meza,
vyombo,majiko ya gesi, na vifaa vyote vyenye kutu
Tunasafisha nje ya nyumba/gadeni yako kwa uzuri
Tunatoa uduma ya kuhamisha watu au ofisi,tunatoa uduma ya
kupakia vitu na kushusha, kufanya usafi ndani ya nyumba
unayoamia, kuingiza vitu ndani , na kuvipanga vizuri.Pia tunafanya
usafi ndani ya nyumba uliyotoka .Tupigigie tukuhamishe
BAFUNI NA CHOONI
Kusafisha tiles za ukutani, chini,
mikono wa kuogea, choo na
kunyunyizia dawa, milango mbele na
nyuma, sehemu za kuwekea sabuni,
Kuondoa buibui,kusafisha heater ya
maji, kusafisha ndoo za chooni,
kusafisha vioo , kusafisha kapeti za
kukanyaga wakati wa kuingia na
kutoka chooni na kuhakikisha choo ni
kisafi
KUPULIZA DAWA NDANI NA NJE YA NYUMBA (FUMIGATION)
Tunapuliza dawa ndani nan je ya nyumba kwa ajili ya kuua wadudu,
kama, mende, mijusi, nyoka, sisimizi, mchwa, panya na wadudu wote
walukao na kutambaa.
MAWASILIANO
P.O.BOX 8424, Samoyazi Street Kijitonyama, Dsm,Phone
+255714552681/0716221068
Mail:leghetcleaning@gmail.com
Tunafanya usafi wa uhakika , majumbani
ofisini, shuleni,hotelini ,na hosipitali