SlideShare une entreprise Scribd logo
1  sur  9
Télécharger pour lire hors ligne
SHETANI KUSHINDANA NA KRISTO
• Kuna Ushindi Mkubwa Juu Ya Pepo Wabaya!
• Kamwe Usiabudu Yule Mdanganyifu Shetani,
Au Mapepo.
• Wote Wameangamia Milele Wanao Pokea “Alama
Ya Mnyama” Kwenye Mkono Wao Au Paji la Uso Ili
Waweze Kununua Au Kuuza
Kimebuniwa Na Watson Goodman Bure—Hakiuzwi
SHETANI KUSHINDANA NA KRISTO
Shetani, anaelezwa katika Neno la Mungu kama “mfalme
wa Ulimwengu Huu,” ni adui mkuu wa Mungu na wa kiumbe
kikuu cha Mungu—mwanadamu. Sisi wanadamu tuko kati-
ka uwanja wa vita pasipo tumaini. Vita viaendelea kati ya
Kristo na Shetani. Lazima tuchague kati ya hawa wawili
nani atakuwa bwana wetu binafsi milele, Kristo Muumbaji—
ambaye ni Emanueli (Mungu pamoja nasi)—au Shetani,
kiumbe—ambaye ni mfalme wa maasi yote kinyume cha
Mungu. Kupitia kifo chake na ufufuo, Kristo alipata ushindi
kamili kwa wote watakao mwamini kikweli.
Shetani hujaribu kwa njia nyingi kudanganya na kuon-
goza watu vibaya. Ibada ndio lengo lake. Kristo, Muumba
wetu, anastahili ibada yote. Tunajitambulisha na yule
tunaemuabudu. Juhudi za mwisho za Shetani kuwanasa
watu ulimwenguni kote zinalenga: (1)Kuwa huru tokana na
Mungu, (2)Utiifu kwa mapepo, (3)Ibada ya “mtu wa dhambi”,
(4)Ibada ya “sanamu” Yake na, (5)alama katika mwili inayo-
takikana kwa kununua na kuuza. Jihadhari na haya yote!
—Watson Goodman (1920-2002)
www.wmpress.org Kiswahili SVC
11-12
Scripture text reprinted from the Bible in Kiswahili by permission of United Bible Societies Africa
Regional Centre, Nairobi, Kenya.
Published in numerous languages by World Missionary Press as God
supplies funds in answer to prayer. If you would like more copies for careful
distribution, please write to us in English.
World Missionary Press, Inc.
P.O. Box 120
New Paris, IN 46553-0120 USA
Jitoe Kwake Yesu Kristo
Umkabidhi BWANA njia yako,
pia umtumaini, naye atafanya.
—Zaburi 37:5
Kwa maana jinsi hii Mungu
aliupenda ulimwengu, hata
akamtoa Mwanawe pekee, ili
kila mtu amwaminiye asipotee,
bali awe na uzima wa milele.
—Yohana 3:16
Wakamwambia, Mwamini
Bwana Yesu, nawe utaokoka
pamoja na nyumba yako.
—Matendo 16:31
Mumgu Huwapa Nguvu
Kuwa Wanawe
Bali wote waliompokea aliwa-
pa uwezo wa kufanyika watoto
wa Mungu, ndio wale waliami-
nio jina lake. Amani nawaa-
chieni; amani yangu nawapa.
—Yohana 1:12 na 14:27a
Mkiri Kristo Waziwazi
Kwa sababu, ukimkiri Yesu
kwa kinywa chako ya kuwa ni
Bwana, na kuamini moyoni
mwako ya kuwa Mungu alimfu-
fua katika wafu, utaokoka. Kwa
maana kwa moyo mtu huamini
hata kupata haki, na kwa ki-
nywa hukiri hata kupata wo-
kovu. Kwa maana andiko lane-
na, Kila amwaminiye hatata-
hayarika. —Warumi 10:9-11
MPOKEE KRISTO KAMA MWOKOZI WAKO LEO

Contenu connexe

En vedette

The way to god thai
The way to god thaiThe way to god thai
The way to god thaiWorldBibles
 
Footprints of faith
Footprints of faithFootprints of faith
Footprints of faithWorldBibles
 
The way to god kreyol
The way to god kreyolThe way to god kreyol
The way to god kreyolWorldBibles
 
Satan versus christ luo
Satan versus christ luoSatan versus christ luo
Satan versus christ luoWorldBibles
 
Help from above latvian
Help from above latvianHelp from above latvian
Help from above latvianWorldBibles
 
The way to god bulgarian
The way to god bulgarianThe way to god bulgarian
The way to god bulgarianWorldBibles
 
A bible study on matthew luganda
A bible study on matthew lugandaA bible study on matthew luganda
A bible study on matthew lugandaWorldBibles
 
The way to god luyia
The way to god luyiaThe way to god luyia
The way to god luyiaWorldBibles
 
How to know god arabic
How to know god arabicHow to know god arabic
How to know god arabicWorldBibles
 
A bible study on genesis english
A bible study on genesis englishA bible study on genesis english
A bible study on genesis englishWorldBibles
 
Help from above simplified chinese
Help from above simplified chineseHelp from above simplified chinese
Help from above simplified chineseWorldBibles
 

En vedette (11)

The way to god thai
The way to god thaiThe way to god thai
The way to god thai
 
Footprints of faith
Footprints of faithFootprints of faith
Footprints of faith
 
The way to god kreyol
The way to god kreyolThe way to god kreyol
The way to god kreyol
 
Satan versus christ luo
Satan versus christ luoSatan versus christ luo
Satan versus christ luo
 
Help from above latvian
Help from above latvianHelp from above latvian
Help from above latvian
 
The way to god bulgarian
The way to god bulgarianThe way to god bulgarian
The way to god bulgarian
 
A bible study on matthew luganda
A bible study on matthew lugandaA bible study on matthew luganda
A bible study on matthew luganda
 
The way to god luyia
The way to god luyiaThe way to god luyia
The way to god luyia
 
How to know god arabic
How to know god arabicHow to know god arabic
How to know god arabic
 
A bible study on genesis english
A bible study on genesis englishA bible study on genesis english
A bible study on genesis english
 
Help from above simplified chinese
Help from above simplified chineseHelp from above simplified chinese
Help from above simplified chinese
 

Plus de WorldBibles

Let’s praise the lord! kreyol
Let’s praise the lord! kreyolLet’s praise the lord! kreyol
Let’s praise the lord! kreyolWorldBibles
 
Let’s praise the lord! english
Let’s praise the lord! englishLet’s praise the lord! english
Let’s praise the lord! englishWorldBibles
 
How to know god thai
How to know god thaiHow to know god thai
How to know god thaiWorldBibles
 
How to know god persian farsi
How to know god persian farsiHow to know god persian farsi
How to know god persian farsiWorldBibles
 
How to know god miskito
How to know god miskitoHow to know god miskito
How to know god miskitoWorldBibles
 
How to know god malayalam
How to know god malayalamHow to know god malayalam
How to know god malayalamWorldBibles
 
How to know god kreyol
How to know god kreyolHow to know god kreyol
How to know god kreyolWorldBibles
 
How to know god kannada
How to know god kannadaHow to know god kannada
How to know god kannadaWorldBibles
 
How to know god hausa
How to know god hausaHow to know god hausa
How to know god hausaWorldBibles
 
How to know god georgian
How to know god georgianHow to know god georgian
How to know god georgianWorldBibles
 
How to know god ewe
How to know god eweHow to know god ewe
How to know god eweWorldBibles
 
How to know god estonian
How to know god estonianHow to know god estonian
How to know god estonianWorldBibles
 
How to know god english
How to know god englishHow to know god english
How to know god englishWorldBibles
 
How to know god chinese simplified
How to know god chinese simplifiedHow to know god chinese simplified
How to know god chinese simplifiedWorldBibles
 
How to know god ateso
How to know god atesoHow to know god ateso
How to know god atesoWorldBibles
 
Help from above urdu
Help from above urduHelp from above urdu
Help from above urduWorldBibles
 
Help from above tswana
Help from above tswanaHelp from above tswana
Help from above tswanaWorldBibles
 
Help from above traditional chinese
Help from above traditional chineseHelp from above traditional chinese
Help from above traditional chineseWorldBibles
 
Help from above tibetan
Help from above tibetanHelp from above tibetan
Help from above tibetanWorldBibles
 
Help from above thai
Help from above thaiHelp from above thai
Help from above thaiWorldBibles
 

Plus de WorldBibles (20)

Let’s praise the lord! kreyol
Let’s praise the lord! kreyolLet’s praise the lord! kreyol
Let’s praise the lord! kreyol
 
Let’s praise the lord! english
Let’s praise the lord! englishLet’s praise the lord! english
Let’s praise the lord! english
 
How to know god thai
How to know god thaiHow to know god thai
How to know god thai
 
How to know god persian farsi
How to know god persian farsiHow to know god persian farsi
How to know god persian farsi
 
How to know god miskito
How to know god miskitoHow to know god miskito
How to know god miskito
 
How to know god malayalam
How to know god malayalamHow to know god malayalam
How to know god malayalam
 
How to know god kreyol
How to know god kreyolHow to know god kreyol
How to know god kreyol
 
How to know god kannada
How to know god kannadaHow to know god kannada
How to know god kannada
 
How to know god hausa
How to know god hausaHow to know god hausa
How to know god hausa
 
How to know god georgian
How to know god georgianHow to know god georgian
How to know god georgian
 
How to know god ewe
How to know god eweHow to know god ewe
How to know god ewe
 
How to know god estonian
How to know god estonianHow to know god estonian
How to know god estonian
 
How to know god english
How to know god englishHow to know god english
How to know god english
 
How to know god chinese simplified
How to know god chinese simplifiedHow to know god chinese simplified
How to know god chinese simplified
 
How to know god ateso
How to know god atesoHow to know god ateso
How to know god ateso
 
Help from above urdu
Help from above urduHelp from above urdu
Help from above urdu
 
Help from above tswana
Help from above tswanaHelp from above tswana
Help from above tswana
 
Help from above traditional chinese
Help from above traditional chineseHelp from above traditional chinese
Help from above traditional chinese
 
Help from above tibetan
Help from above tibetanHelp from above tibetan
Help from above tibetan
 
Help from above thai
Help from above thaiHelp from above thai
Help from above thai
 

Satan versus christ kiswahili

  • 1. SHETANI KUSHINDANA NA KRISTO • Kuna Ushindi Mkubwa Juu Ya Pepo Wabaya! • Kamwe Usiabudu Yule Mdanganyifu Shetani, Au Mapepo. • Wote Wameangamia Milele Wanao Pokea “Alama Ya Mnyama” Kwenye Mkono Wao Au Paji la Uso Ili Waweze Kununua Au Kuuza Kimebuniwa Na Watson Goodman Bure—Hakiuzwi SHETANI KUSHINDANA NA KRISTO Shetani, anaelezwa katika Neno la Mungu kama “mfalme wa Ulimwengu Huu,” ni adui mkuu wa Mungu na wa kiumbe kikuu cha Mungu—mwanadamu. Sisi wanadamu tuko kati- ka uwanja wa vita pasipo tumaini. Vita viaendelea kati ya Kristo na Shetani. Lazima tuchague kati ya hawa wawili nani atakuwa bwana wetu binafsi milele, Kristo Muumbaji— ambaye ni Emanueli (Mungu pamoja nasi)—au Shetani, kiumbe—ambaye ni mfalme wa maasi yote kinyume cha Mungu. Kupitia kifo chake na ufufuo, Kristo alipata ushindi kamili kwa wote watakao mwamini kikweli. Shetani hujaribu kwa njia nyingi kudanganya na kuon- goza watu vibaya. Ibada ndio lengo lake. Kristo, Muumba wetu, anastahili ibada yote. Tunajitambulisha na yule tunaemuabudu. Juhudi za mwisho za Shetani kuwanasa watu ulimwenguni kote zinalenga: (1)Kuwa huru tokana na Mungu, (2)Utiifu kwa mapepo, (3)Ibada ya “mtu wa dhambi”, (4)Ibada ya “sanamu” Yake na, (5)alama katika mwili inayo- takikana kwa kununua na kuuza. Jihadhari na haya yote! —Watson Goodman (1920-2002)
  • 2.
  • 3.
  • 4.
  • 5.
  • 6.
  • 7.
  • 8.
  • 9. www.wmpress.org Kiswahili SVC 11-12 Scripture text reprinted from the Bible in Kiswahili by permission of United Bible Societies Africa Regional Centre, Nairobi, Kenya. Published in numerous languages by World Missionary Press as God supplies funds in answer to prayer. If you would like more copies for careful distribution, please write to us in English. World Missionary Press, Inc. P.O. Box 120 New Paris, IN 46553-0120 USA Jitoe Kwake Yesu Kristo Umkabidhi BWANA njia yako, pia umtumaini, naye atafanya. —Zaburi 37:5 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. —Yohana 3:16 Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako. —Matendo 16:31 Mumgu Huwapa Nguvu Kuwa Wanawe Bali wote waliompokea aliwa- pa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliami- nio jina lake. Amani nawaa- chieni; amani yangu nawapa. —Yohana 1:12 na 14:27a Mkiri Kristo Waziwazi Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfu- fua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa ki- nywa hukiri hata kupata wo- kovu. Kwa maana andiko lane- na, Kila amwaminiye hatata- hayarika. —Warumi 10:9-11 MPOKEE KRISTO KAMA MWOKOZI WAKO LEO